Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais Kiir avunja Bunge ili kutekeleza makubaliano ya amani waliyosaini

Kiir, ED Rais Kiir avunja Bunge ili kutekeleza makubaliano ya amani waliyosaini

Mon, 10 May 2021 Chanzo: ippmedia.com

Mzozo wa Sudan Kusini ulianza mwaka 2013 baada ya Rais Kiir, kutoka jamii ya Wadinka kumfukuza kazi Makamu wake, Riek Machar kutoka Kabila la Nuer. Licha ya kufikia makubaliano, mapigano bado yanaendelea katika baadhi ya maeneo.

Mzozo wa Sudan Kusini ulianza mwaka 2013 baada ya Rais Kiir, kutoka jamii ya Wadinka kumfukuza kazi Makamu wake, Riek Machar kutoka Kabila la Nuer. Licha ya kufikia makubaliano, mapigano bado yanaendelea katika baadhi ya maeneo. Makubaliano ya Amani yanataka kuongezwa kwa idadi ya wabunge, kutoka 400 wa hivi sasa hadi kufikia 550, na lazima Bunge hilo lihusishe watu kutoka pande zote mbili zilizokuwa katika mzozo.

Chanzo: ippmedia.com