Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais Kenyatta akiwasili Ubalozi wa TZ Kenya (+picha)

Habarileo Tz 162042817 286938709456543 2963846842302313619 N 660x400 Rais Kenyatta akiwasili Ubalozi wa TZ Kenya (+picha)

Sat, 20 Mar 2021 Chanzo: millardayo.com

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amewasili Ubalozi wa Tanzania Nairobi, Kenya nakusaini kitabu cha maombolezo cha Hayati Rais Dk John Magufuli.

Rais Uhuru Kenyatta alipokewa na Balozi wa Tanzania Nchini Kenya John Stephen Simbachawene na watumishi wengine wa Ubalozi.





DIAMOND PLATNUMZ KAFUNGUKA “MAGUFULI ALINIULIZA SIRI JUU YA BABA YANGU, NIMELELEWA NA MAMA”
Chanzo: millardayo.com