Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais Avunja tume ya uchaguzi, achagua wajumbe wapya

Uchaguzi Tunisia Tume.jpeg Rais Avunja tume ya uchaguzi, achagua wajumbe wapya

Sat, 23 Apr 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa Tunisia, Kais Saied ameendeleza nia yake ya kujiimarishia Mamlaka baada ya kutoa amri ya kubadilisha Wajumbe wa Tume Huru ya Uchaguzi na kuwaweka watu 7 wapya aliowateua mwenyewe

Tume hiyo ni miongoni mwa Vyombo huru vya mwisho Nchini Tunisia, hivyo hatua hiyo inatazamwa kama uvunjifu wa haki kwa raia.

Maamuzi hayo yameelekeza kubadili wananhama wa Tume hiyo kwa amri ya Rais jambo ambalo linatarajiwa kuchohea zaidi upinzani dhidi ya utawala wake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live