Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Raila atangaza awamu ya tatu ya maandamano

Raila Odinga Kuongoza Maandamano Dhidi Ya Serikali Ya Rais Ruto Raila atangaza awamu ya tatu ya maandamano

Thu, 13 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiongozi wa Umoja wa Azimio nchini Kenya, Raila Odinga amesema kuwa wanajipanga kwa awamu ya tatu ya maandamano ya kupinga kupanda kwa gharama za maisha nchini humo dhidi ya Serikali.

Odinga ameyasema hayo jana Jumatano, Julai 12, 2023 muda mchache baada ya kusitisha mkutano wake wa hadhara uliopangwa kufanyika katika uwanja wa Kamukunji.

"Tutamlazimisha Ruto (Rais wa Kenya) kuwapa Wakenya mpango mzuri. Hivi karibuni tutawasiliana jinsi awamu ya tatu ya maandamano itakavyokuwa,” amesema.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live