Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Profesa aitaka Serikali kutenga likizo kila wiki kwa Waislam

Com Wajackoyah E Profesa aitaka Serikali kutenga likizo kila wiki kwa Waislam

Tue, 17 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiongozi wa chama cha Roots Profesa George Wajackoyah sasa anaitaka serikali kuwatengea likizo ya kila wiki waumini wa dini ya Kiislamu.

Kwa mujibu wa Profesa Wajackoyah, waumini wa dini zingine wana likizo kwa ajili ya siku zao za ibada na kupumzika huku Waislamu wakiwa hawana siku yoyote ile.

"Ninataka serikali kutenga Ijumaa kuwa likizo kwa Waislamu. Wanasabato wana Jumamosi na Wakristo wana Jumapili lakini Waislamu hawana siku yao," Wajackoyah amesema.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live