Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Posho za Wabunge, Watumishi wa Umma zafutwa Uganda

Museveni Ataka Wabunge Wapigwe Marufuku Kusafiri Nje Ya Nchi Museveni apiga 'Stop' safari za nje, posho kwa Wabunge

Mon, 16 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais YoweriMuseveni amepiga marufuku kusafiri nje ya Nchi na posho za ndani kwa Wabunge na Watumishi wa Umma ili kuokoa Fedha za kuendeleza sekta muhimu kama Mafuta na Gesi

Rais YoweriMuseveni amepiga marufuku kusafiri nje ya Nchi na posho za ndani kwa Wabunge na Watumishi wa Umma ili kuokoa Fedha za kuendeleza sekta muhimu kama Mafuta na Gesi Hata hivyo, Waziri wa Fedha, Matia Kasaija, amesema Serikali haiwezi kupiga marufuku safari zote nje ya Nchi kwasababu nyingine ni muhimu sana kwa Maendeleo ya Uchumi wa Nchi hiyo

Chanzo: www.tanzaniaweb.live