Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Polisi wazuia msafara wa Bobi Wine, waamrisha hotel zisiwahudumie

Screenshot 2020 11 27 At 10.04.19 660x400.png Polisi wazuia msafara wa Bobi Wine, waamrisha hotel zisiwahudumie

Sat, 28 Nov 2020 Chanzo: millardayo.com

Mgombea Urais nchini Uganda kupitia NUP, Robert Kyagulanyi au Bobi Wine na msafara wake wamelazimika kulala kwenye magari huko Migera

Katika Ukurasa wake wa Twitter, Bobi Wine ameandika Polisi walifunga njia zote zinazoelekea Hoima walipotaka kwenda kutumia usiku wao huko.

Pia amedai Polisi waliamrisha hoteli zote zisiwape vyumba hivyo walilazimika kulala barabarani kwenye magari yao.

Our plan to spend the night in Hoima was frustrated as police blocked all roads. We drove to Migera but police under DPC Patience Namara and OC Byaruhanga ordered all hotels not to host us. We had to spend the night on the roadside, sleeping in vehicles! In our own country!!! pic.twitter.com/LnK5rptHJX

— BOBI WINE (@HEBobiwine) November 27, 2020

MACHAFUKO MABOMU, RISASI VYATAWALA, “WANAMTAKA BOBI WINE” YADAIWA WATU WAMEUAWA

Chanzo: millardayo.com