Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Polisi wazingira nyumba ya Bobi Wine, wazuia asifanye kampeni

Bobiweneey Bobi Wine, Mpinzani Mkuu Uganda

Tue, 14 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiongozi wa upinzani nchini Uganda Robert Kyagulanyi, maarufu kama Bobi Wine, ametuma picha ya polisi na jeshi wakionekana nje ya nyumba yake kabla ya kampeni za uchaguzi mdogo unaotarajiwa kufanyika katika wilaya ya Kayunga.

Rais Yoweri Museveni anatarajiwa kutembelea katika wilaya ya Kayunga kumfanyia kampeni mgombea wa chama tawala anayewania nafasi ya uenyekiti.

Uchaguzi huo mdogo umepangwa kufanyika Alhamisi na chama tawala na upinzani kwa pamoja vinataka kuonyesha uwezo wao katika eneo hilo.

Bobi Wine ameshutumu jeshi na polisi kwa kujaribu kumzuwia kuondoka nyumbani kwake :

Chanzo: www.tanzaniaweb.live