Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Pogba aomba radhi kipigo cha jana

93A98B5D 90AA 4654 A698 F22A42C58311 660x400.jpeg Pogba aomba radhi kipigo cha jana

Mon, 2 Nov 2020 Chanzo: millardayo.com

Kiungo wa Man United Paul Pogba ameomba radhi kwa wapenzi na mashabiki wa Man United kwa kitendo chake cha kucheza faulo ndani ya 18 na kusababisha penati iliyowafanya Arsenal waibuke na ushindi wa 1-0 Old Trafford.

“Baada ya kiwango kizuri dhidi ya RB Leipzig tumeshindwa kufanya vizuri leo, kucheza faulo kama ilee”>>> Pogba

Nilifikiria ningeugusa mpira lakini sikuugusa na imetugharimu, labda kwa kuwa nilikuwa nakimbia kwa kasi ikasabaisha kufanya kosa la kipumbavu”>>> Pogba VIA BBC.

Chanzo: millardayo.com