Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Padre apigwa risasi na kuuwawa kisha mwili wake kuteketezwa

Mk Padre Padre apigwa risasi na kuuwawa kisha mwili wake kuteketezwa

Mon, 16 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kanisa katoliki nchini Nigeria nilaomboleza baada ya watu wasiojulikana kushambuliwa nyumba ya mapadre (rectory) katika parokia ya watakatifu Petro na Paulo Kafin Koro.

Padre Isaac Achi alipigwa risasi na kuuwawa kisha mwili wake kuteketezwa huku Padre Collins Omeh akipata majerehe mabaya ya risasi.

Kisa hicho kilitokea asubuhi ya leo. Haya yanajiri miezi Michache baada ya visa vya kutekwa nyara kwa mapadre nchini humo kuripotiwa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live