Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

PICHA: Raia wawashangilia wanajeshi Gabon

Wanajeshi Moja PICHA: Raia wawashangilia wanajeshi Gabon

Wed, 30 Aug 2023 Chanzo: Bbc

Picha hizi ambazo zimetufikia kutoka kwa shirika la habari la AFP zinawaonyesha wakaazi wa mji mkuu wa Gabon, Libreville, wakiwapigia makofi wanajeshi mitaani baada ya jeshi kutangaza kuchukua madaraka leo asubuhi.

Mwandishi wa Reuters anasema mamia ya watu wamekuwa wakisherehekea katikati mwa jiji.

Chanzo: Bbc