Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

PICHA: Maafa ya moto Sauz, watu wamekusanyika nje ya jengo la zima moto

Maafa 4 PICHA: Maafa ya moto Sauz, watu wamekusanyika nje ya jengo la zima moto

Thu, 31 Aug 2023 Chanzo: Bbc

Takriban watu 63 wamefariki baada ya moto kuzuka katika jengo moja mjini Johannesburg, mamlaka ya Afrika Kusini inasema.

Wengine zaidi ya 40 wamejeruhiwa. Maafisa wa Johannesburg wanasema haijafahamika ni nini kilisababisha moto huo katika jengo la ghorofa tano katikati mwa jiji.



Chanzo: Bbc