Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Orodha ya viongozi mashuhuri Afrika ambao waliwahi kufungwa jela

0517ee9bef293896 Orodha ya viongozi mashuhuri Afrika ambao waliwahi kufungwa jela

Sun, 11 Jul 2021 Chanzo: kiswahili.tuko.co.ke

Aliyekuwa Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma hii majuzi alijisalimisha kwa polisi na kuanza kutumikia kifungo chake cha miezi 15 gerezani kwa kudharau mahakama.

Zuma mwenye umri wa miaka 79, alihukumiwa kifungo hicho wiki iliyopita kwa kushindwa kufika kortini kusikizwa kwa kesi yake ya ufisadi.

TUKO.co.ke sasa inakuorodheshea majina ya viongozi wa Afrika ambao walisukumwa jela.

Alphonse Massamba-Débat - Alikuwa rais wa Congo kati yamwaka 1963-1968 Ali Osman Taha - Makamu wa Rais wa Sudan kati ya 2011-2013, 1998-2005 Baghdadi Mahmudi - Waziri Mkuu wa Libya kati ya 2006-2011 Banana, Canaan - Rais wa Zimbabwe kati ya mwaka 1980–1987 Bokassa, Jean-Bédel - Mfalme Mkuu wa Central African Republic kati ya mwaka 1976–1979 na rais kati ya mwaka 1966–1976 Carlos Correia - Waziir Mkuu wa Guinea-Bissau kati ya 2015-2016, 2008-2009, 1997-1998, 1991-1994



Read also

Kuna Njama ya Kumtimua Matiang'i, Rigathi Gachagua Athibitisha

7. Chihana, Chakufwa - Makamu wa Rais wa Malawi kati ya 2003-2004, 1994-1996

8. Diya, Oladipo - Makamu wa Rais wa Nigeria kati ya 1993-1997

9. Ebeid, Atef - Waziri Mkuu wa Misri Egypt kati ya 1999-2004

10. Ephraïm Inoni - Waziri Mkuu wa Cameroon kati ya 2004-2009

11. Eugene Koffi Adoboli - Waziri Mkuu waTogo kati ya 1999-2000 12

12. Gregoire Kayibanda - Rais wa Rwanda kati ya 1961-1973

13. Habib Bourguiba - Rais wa Tunisia kati ya 1957-1987 na waziri mkuu kati ya 1956-1957

14. Haile Selassie - Mfalme Mkuu wa Uhabeshi kati ya mwaka 1930–1974

15. Hama Amadou - Waziri Mkuu wa Niger kati ya mwaka 2000-2007, 1995-1996

READ ENGLISH VERSION

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia [email protected] au WhatsaApp: 0732482690.



Read also

Messi Aiongoza Argentina Kuisakama Brazil na Kunyanyua Kombe Katika Fainali za Copa America

Tazama Video Kemkem za Kusisimua Kutoka hapa TUKO.co.ke.
Chanzo: kiswahili.tuko.co.ke