Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Odinga kumwondoa Ruto madarakani

Raila Odinga Kuongoza Maandamano Dhidi Ya Serikali Ya Rais Ruto Odinga kumwondoa Ruto madarakani

Sun, 2 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Muungano wa Azimio la Umoja chini ya Raila Odinga umedai utamuondoa kwenye kiti Rais William Ruto na serikali yake.

Viongozi hao wa Azimio wametoa angalizo dhidi ya serikali ya Kenya wakidai kuwa wameshindwa kukidhi mahitaji ya mwananchi wa kawaida.

Mbunge wa Saboti, Caleb Amisi amesema kuwa ni rahisi sana kumuondoa Ruto madarakani kwa sababu alishinda kwa kura chache katika uchaguzi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live