Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Odinga kumburuza mahakamani Rais Ruto

Odinga Hy.png Raila Odinga

Sun, 7 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kongozi wa Umoja wa Azimio, Raila Odinga amesema anachukua uamuzi huo dhidi ya Rais wa Kenya, William Ruto ambaye ameunda Kamati ya kuchukunguza miili 110 iliyofukuliwa katika eneo la #Shakahola lilipo katika Kanisa la Good News International Church, ambapo takribani Watu 320 wameripotiwa kupotea.

Uamuzi huo umekuja siku moja baada ya Polisi kumzuia Odinga na wasaidizi wake kuingia katika eneo la tukio.

Odinga amesema “Rais hana uwezo ya kuunda jopo la uchunguzi, hiyo ni kazi ya Bunge, Bunge lenyewe limelala halijafanya hiyo kazi, nitamshitaki Ruto kwa kukiuka Katiba, watuhumiwa walionekana wakisali pamoja na viongozi wa Taifa, hivyo Serikali haiwezi kujichunguza tukio ambalo nao wanahusika.”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live