Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Odinga awahishwa hospitali

63d08981c5b029a440c6c4e661f0c455 Odinga awahishwa hospitali

Thu, 11 Mar 2021 Chanzo: www.habarileo.co.tz

Kiongozi wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga amelazwa katika hospitali ya Nairobi nchini humo baada ya taarifa mbalimbali kueleza kuwa afya yake haiku imara hivyo kuhitajika kufanya vipimo zaidi.

Kiongozi wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga amelazwa katika hospitali ya Nairobi nchini humo baada ya taarifa mbalimbali kueleza kuwa afya yake haiku imara hivyo kuhitajika kufanya vipimo zaidi. Taarifa za mtandao wa Tuko nchini humo zinaeleza kuwa Odinga amepelekwa hospitali kutokana na uchovu baada ya safari ndefu ya kutembelea pwani ya Kenya katika jiji la Mombasa.

Chanzo: www.habarileo.co.tz