Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Odinga atangaza kuwania urais 2022

Odingaa Ed 0 Odinga atangaza kuwania urais 2022

Sat, 11 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Odinga ametoa tangazo hilo jana katika kongamano la Azimio la Umoja .

"Ninatangaza kwamba ninakubali kujiwasilisha kama mgombeaji Urais,"

“Lazima niongezee hapa kwamba kwa maridhiano haya, siombi chochote na kamwe sitaomba chochote isipokuwa nafasi ya kutumikia,” amesema Odinda.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live