Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ngoma bado mbichi Kenya, wafuasi wa Odinga watinga mahakamani

Wafuasi Wa Odinga.png Ngoma bado mbichi Kenya, wafuasi wa Odinga watinga mahakamani

Mon, 22 Aug 2022 Chanzo: Radio Jambo

Mawakili wa mgombea urais wa Azimio Raila Odinga tayari wamewasilisha nakala ya kielektroniki ya rufaa ya kupinga ushindi wa Rais Mteule William Ruto.

Timu hiyo ya wanasheria hata hivyo wanatarajiwa kuwasilisha nakala ya rufaa katika mahakama ya Milimani kabla ya saa nane alasiri.

Baadhi ya wanasiasa wa Azimio tayari wamewasili katika mahakama hiyo kwa ajili ya kushuhudia kuwasilishwa kwa rufaa.

Chanzo: Radio Jambo
Related Articles: