Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nchi hizi zinakabiliwa na uhaba chanjo ya kipindupindu

Sadc Yakataa Wito Wa Kutangaza Dharura Ya Afya Ya Kipindupindu Nchi hizi zinakabiliwa na uhaba chanjo ya kipindupindu

Thu, 29 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nchi za Zimbabwe, Malawi na Msumbiji zinakabiliwa na uhaba wa Chanjo za Kipindupindu huku Ugonjwa huo ukiwa umeathiri takriban Watu 96,000 na kusababisha Vifo zaidi ya 1,600 katika Nchi hizo.

Taarifa ya Madaktari Wasio na Mipaka (DWB) imeeleza kuwa uhaba huo umeathiri zoezi la Chanjo katika Nchi 16 za Afrika na hivyo kuvisisitiza Viwanda kuharakisha uzalishaji ili kupunguza athari zinazoendelea kuongezeka kutokana na maambukizi.

Nchi nyingine iliyotajwa kuathirika zaidi na Kipindupindu ni Zambia ambayo takwimu zinaonesha hadi sasa zaidi ya Watu 700 wamefariki kutokana na Ugonjwa huo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live