Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Namibia mbioni kupata Rais Mwanamke

NANDI Min Bi Nandi-Ndaitwah

Sun, 4 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati Namibia ikitangaza kifo cha Rais wa wake Hage Geingob ikumbukwe kuwa Namibia itafanya uchaguzi mkuu mwezi Novemba mwaka huu.

Ikumbukwe mwaka jana 2023 Chama tawala cha Swapo ambacho kimekuwa madarakani tangu 1990, kilimteua Bi Nandi-Ndaitwah kama mgombea urais.

Bi Nandi-Ndaitwah ndiye Waziri mkuu wa sasa na iwapo atashinda, atakuwa rais wa kwanza mwanamke nchini humo

Chanzo: www.tanzaniaweb.live