Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nabii aingie kwenye kundi lasimba akidhani hatoliwa kama Daniel, alibaki mifupa

Download 4.jpeg Nabii aingie kwenye kundi lasimba akidhani hatoliwa kama Daniel, alibaki mifupa

Wed, 18 Nov 2020 Chanzo: millardayo.com

Mwaka 1991 Nabii Daniel Abodunrin Raia wa Nigeria aliwaeleza watu kuwa kama ilivyoandikwa kwenye Bibilia kuwa Daniel aliingia kwenye zizi la simba na hakuliwa kwakuwa MUNGU aliwafunga midomo Simba hao, jamaa naye akaingia katikati ya simba, dakika moja nyingi aliliwa.

Chanzo: millardayo.com