Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwinyi katika mkutano wa SADC unaozungumzia Ulinzi na Usalama

Screenshot 2021 04 09 At 12.03.06 660x400.png Mwinyi katika mkutano wa SADC unaozungumzia Ulinzi na Usalama

Fri, 9 Apr 2021 Chanzo: millardayo.com

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameshiriki katika mkutano wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) unaozungumzia Masuala ya Ulinzi na Usalama wa Nchi za Jumuiya hiyo uliofanyika Maputo Nchini Msumbiji akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya  Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, ukiongozwa na Mwenyekiti wake Rais wa Msumbuji Fellipe Jacinto Nyusi.

MAJONZI: RAIS SAMIA, MWINYI, MABEYO KWENYE MAADHIMISHO YA KARUME DAY

Chanzo: millardayo.com