Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwili wa Rais Buyoya kutua Burundi baada ya miaka minne

Buyoya Dvffd Mwili wa Rais Buyoya kutua Burundi baada ya miaka minne

Thu, 11 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwili wa Rais wa zamani wa Burundi, Pierre Buyoya unatarajiwa kupelekwa nchini mwake ikiwa ni miaka minne baada ya kuzikwa nchini Mali.

Pierre Buyoya alifariki Desemba 17, 2020 nchini Ufaransa na mwili wake ukasafirishwa kupelekwa nchini Mali ulipozikwa ambapo ndipo alipokuwa mwakilishi wa Umoja wa Afrika.

Mwili wake utapelekwa nchini Burundi Julai 14,2024 kwa ajili ya kuzikwa kwa heshima zoezi litakalofanyika tarehe 17 Julai mwaka huu.

Pierre Buyoya aliingia madarakani katika nyakati mbili tofauti, mwaka wa 1987-1993 na 1996 hadi mwaka wa 2003.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live