Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwandishi atupwa jela miaka 30 jela Kinshasa

Stanis Bujakera 2023 Mwandishi atupwa jela miaka 30 jela Kinshasa

Mon, 11 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mahakama jijini Kinshasa imemuhukumu miaka 20 jela mwandishi wa habari wa Congo, Stanis Bujakera baada ya kukutwa na hatia ya makosa mbalimbali.

Stanis Mwandishi wa gazeti la Jeune Afrique amekutwa na hatia ya ujasusi na kueneza uvumi wa uongo kuhusu kifo cha mpinzani aliyeuawa miezi kadhaa iliyopita.

Mwandishi huyo alikuwa amewekwa kizuizini mjini Kinshasa akisuburi kupelekwa Mahakamani baada ya kukamilika kwa uchunguzi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live