Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwanaume Afungua Kesi Kisa Mkewe Kuitwa 'Babe' Kwenye Whatsapp

Law 1063249 1920 A35e082d75c748e18bf8108733914dc1 660x400 Mahakama

Fri, 29 Oct 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanaume mmoja anayetambulika kwa jina Jamiu, mkazi wa Ijebu Ode, katika jimbo la Ogun nchini Nigeria, ameshutumiwa kwa kumuita mke wa mtu, Opeyemi Adegbesan "babe", jina ambalo sio analolitumia katika akaunti yake ya WhatsApp.

Mwanume huyo kwa sasa anashitaki kwa jaji kwasababu anasema yeye ndiye aliyemnunulia mke wake gauni la harusi na hivyo mwanamke mwanaume mwingine hawezi kumuita baby. Jamiu amekana mashitaka ya kwamba alivuruga amani katika ndoa baina ya mwanamke huyo na mume wake Akintunde Adegbesan tarehe 19 Septemba.

Mwanamke mwingine alipokea ujumbe kwenye kikundi cha WhatsApp ulioandikwa 'Good Morning Babe' kutoka kwa nambari za simu 08059491562 na 08138868837, pia alishitaki. Tukio hilo limekuwa likijadiliwa kwenye mtandao, huku watu mbali mbali wakitoa maoni mbali mbali kuhusu tukio hilo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live