Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwanahabari wa KBC apigwa risasi na majambazi nyumbani kwake

C4ea1c29c118009c Mwanahabari wa KBC apigwa risasi na majambazi nyumbani kwake

Thu, 8 Apr 2021 Chanzo: kiswahili.tuko.co.ke

Mwanahabari wa Shirika la KBC, Betty Mutekhele ameaga dunia.

Betty, ambaye alikuwa mhariri wa video alipigwa risasi na majambazi nyumbani kwake eneo la Ololua, Ngong Jumatano, Aprili 7 usiku.

Mwendazake alikuwa amehudumu katika KBC kwa zaidi ya miaka 12 baada ya kujiunga na shirika hilo la serikali mnamo Februari 2009.

Chanzo: kiswahili.tuko.co.ke