Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwanafunzi mtanzania anayelipwa laki mbili kwa siku South Afrika (+video)

Mbunifu 660x400 Mwanafunzi mtanzania anayelipwa laki mbili kwa siku South Afrika (+video)

Mon, 8 Feb 2021 Chanzo: millardayo.com

Erick Laizer ni mwanafunzi mtanzania anayesoma chuo cha African Leadership Academy kilichopo South Africa,  alipata nafasi hiyo baada yakugundua mtambo wakumsaidia mtu kujilinda na majanga mbalimbali ikiwemo moto,wizi na hitilafu za umeme ambapo aliibuka nakushika nafasi ya kwanza kwenye mashindano ya kisayansi. Tanzania

Erick anasema kwenye chuo anachosoma cha African Leadership Academy analipwa zaidi ya laki mbili kwa siku kwa kutengeneza vifaa mbalimbali kama simu laptop ukiachia mbali fedha nyingine anazolipwa na wanafunzi wenzake kwa kuwatengenezea vifaa mbalimbali na fedha ambayo ameikusanya amewajengea wazazi wake nyumba ya shilingi millioni 40.

MTOTO ANTONY ALIVYOWAOMBEA WENZAKE WANAOUMWA “MACHO YANABADILIKA,WAMEPONA”

Chanzo: millardayo.com