Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwalimu Mkuu apigiliwa msumari kichwani

Capture.png Mwalimu Mkuu apigiliwa msumari kichwani

Fri, 11 Jun 2021 Chanzo: millardayo.com

Mwanafunzi wa Kidato cha tatu katika shule ya Sekondari Ainamoi iliyoko Kaunti ya Kericho, Kenya anatafutwa na Polisi kwa kumpigilia msumari wa inchi nne Mkuu wake wa shule.

Mwanafunzi huyo alizuiwa kuingia darasani akitakiwa kwanza alipe ada aliyokuwa anadaiwa ambayo ni takribani Tsh. 150,000, ambapo imedaiwa mwanafunzi aliomba muda zaidi wa kulipa kiasi hicho.

Baada ya kutoelewana mwanafunzi alimvizia Mkuu wa Shule na kumgongelea msumari wa inchi nne kichwani ambaye kwa sasa amewahishwa hospitali kwa matibabu.

SABABU ZA JOSEPH KUSAGA KUANZISHA TV MPYA TANZANIA

Chanzo: millardayo.com