Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Museveni bado anaangalia chanjo ipi atakayochomwa

Screenshot 2021 03 15 At 15.06.59 660x400.png Museveni bado anaangalia chanjo ipi atakayochomwa

Tue, 16 Mar 2021 Chanzo: millardayo.com

Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amesema bado anaangalia ni chanjo ipi atakayochomwa, siku chache baada serikali yake kuanza kutoa chanjo ya Oxford-AstraZeneca kwa wananchi.

Tayari marais wengine barani Afrika wameonesha kwa umma wakipata chanjo ili kuhakikishia usalama na ubora wa chanjo.

Katika hotuba yake usiku wa kuamkia leo, Rais Museveni amesema hajapata chanjo bado kwa kuwa yuko makini na ana ulinzi wa kutosha “. Alisema mke wake, Janet Museveni, pia bado hajapata chanjo hiyo.

MAMA SAMIA AFUNGUKA “MSISIKILIZE MANENO YA KUTOKA NJE”

Chanzo: millardayo.com