Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Museven amteua mwanae Muhooz kuwa Mkuu wa Majeshi Uganda

Untitled 1 5 1320x742 Museven amteua mwanae Muhooz kuwa Mkuu wa Majeshi Uganda

Thu, 21 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amemteua Mtoto wake Jenerali Muhoozi Kainerugaba kuwa Mkuu mpya wa Majeshi (CDF) Nchini Uganda akichukua nafasi ya Jenerali Wilson Mbasu Mbadi ambaye ameteuliwa kuwa Waziri anayehusika na masuala ya biashara kwenye mabadiliko mapya aliyofanya katika Baraza la Mawaziri la Nchi hiyo usiku huu.

Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amemteua Mtoto wake Jenerali Muhoozi Kainerugaba kuwa Mkuu mpya wa Majeshi (CDF) Nchini Uganda akichukua nafasi ya Jenerali Wilson Mbasu Mbadi ambaye ameteuliwa kuwa Waziri anayehusika na masuala ya biashara kwenye mabadiliko mapya aliyofanya katika Baraza la Mawaziri la Nchi hiyo usiku huu. Muhoozi aliwahi kuwa kwenye nafasi ya Ukamanda wa Jeshi la Ardhini la Uganda kabla ya kuondolewa kwenye nafasi hiyo mnamo Oktoba 04, 2022 huku nafasi yake ikichukuliwa na Meja Jenerali Kayanja Muhanga ambaye alikuwa Kamanda wa Operesheni Shujaa inayoendeshwa Nchini DRC.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live