Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mume wa mtu afumaniwa akifanya ngono Kanisani

DEATHSEX Mume wa mtu afumaniwa akifanya ngono Kanisani

Fri, 7 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wapenzi hao wamekutwa wakifanya kitendo hicho eneo la Madhabau Nchini Uganda na kusababisha kikundi cha Waumini kadhaa kuapa kutoingia tena katika Kanisa hilo lililopo Wilaya ya Kayunga.

Tukio limewahusisha Kijana muumini wa Kikatoliki mwenye miaka 23 ambaye ni mume wa mtu na Binti wa Dhehebu la Kiislamu ambaye alitalikiwa hivi karibuni, walifumaniwa na mke wa kijana huyo wakiwa bila nguo za ndani.

Wapenzi hao wamedaiwa kuingia ndani ya Kanisa kupitia Dirishani. Baadhi ya waumini wametaka uongozi wa Kanisa kufanya ibada maalumu ya kulitakasa Kanisa ili kuondoa dhambi hiyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live