Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mume wa Osinachi asema haya mahakamani kuhusu kifo ha mkewe

Osinachi .jpeg Osinachi Nwachukwu na mumewe

Sat, 4 Jun 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Peter Nwachukwu ambaye ni Mume wa Mwimbaji wa Nyimbo za lnjili, Osinachi Nwachukwu (aliyefariki mwezi Aprili) amekana mashtaka yote yanayohusiana na kifo chake na madai ya unyanyasaji katika ndoa yao.

Peter anakabiliwa na jumla ya mashtaka 23, baadhi yakihusiana na Unyanyasaji wa Nyumbani (unyanyasaji wa kihisia na kisaikolojia) na kuua bila kukusudia.

Baadhi ya nyimbo alizoshiriki Osinachi ni kama Nara Ekele akiwa na Mchungaji Paul Enenche na Ekwueme akiwa na Prospa Ochimana

Chanzo: www.tanzaniaweb.live