Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mtoto amuua mwenzie k?sa ugali

Crime Scene Assassination Download Royalty Free Vector File EPS 275061.jpeg Mtoto amuua mwenzie k?sa ugali

Fri, 15 Oct 2021 Chanzo: KenyaMedia

Mtoto wa miaka 14 wa Navakholo, Kaunti ya Kakamega amemuua mwanafunzi mwenzake wa miaka 10 kwa kumpiga na kitu kichwani na kuutupa mwili wake Mto Simakina baada ya kugundua kuwa amekula ugali wake.

Inaelezwa kuwa, Mtoto huyo aliporudi Shule aliambiwa kuwa Jirani yao huyo ameshakula Ugali Kunde aliowekewa, ndipo alipomfuata machungani na kumshambulia.

OCPD wa Navakholo, Richard Omanga amesema mwili wa mtoto unafanyiwa uchunguzi zaidi na Polisi wanamshikilia mtuhumiwa huyu kwa mahojiano zaidi.

Chanzo: KenyaMedia