Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Msanii wa Muziki ateuliwa kuwa mshauri wa Rais

EH M  TX0AEoWaU.jpeg Msanii wa Muziki ateuliwa kuwa mshauri wa Rais

Thu, 22 Aug 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii Edrisah Kenzo Musuuza maarufu kwa jina la Eddy Kenzo ameteuliwa kuwa Mshauri wa Rais Yoweri Museveni katika masuala ya Sanaa

Kuteuliwa kwa Eddy Kenzo kumetangazwa na mke wake katika mtandao wa kijamii wa X zamani twitter.

Edrisah Kenzo ameteuliwa katika nafasi hiyo ambapo alikuwa Mwenyekiti wa Shirikisho la Wasanii nchini Uganda lakini pia akiwa swahiba sana wa Rais wa Uganda.

Itakumbukwa kuwa mke wa Eddy Kenzo,Phiona Nyamutoro ni Katibu Mkuu katika wizara ya madini nchini Uganda.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live