Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Msafara wa walinda amani wa Umoja wa Mataifa washambuliwa nchini Mali

Msafara Wa Walinda Amani Wa Umoja Wa Mataifa Washambuliwa Nchini Mali Msafara wa walinda amani wa Umoja wa Mataifa washambuliwa nchini Mali

Tue, 21 Feb 2023 Chanzo: Bbc

Askari watatu wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa wameuawa na wengine watano kujeruhiwa vibaya na kilipuzi cha kutengenezea (IED) nchini Mali.

Askari watatu wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa wameuawa na wengine watano kujeruhiwa vibaya na kilipuzi cha kutengenezea (IED) nchini Mali. Katika chapisho kwenye mtandao wa kijamii, ujumbe wa Umoja wa Mataifa ulisema moja ya msafara wake ulilengwa.

Chanzo: Bbc