Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mrembo aliyemkana Yesu na kuolewa na mganga, asema hajutii

D45e8b02d03fabba Mrembo aliyemkana Yesu na kuolewa na mganga, asema hajutii

Sun, 19 Sep 2021 Chanzo: kiswahili.tuko.co.ke

Lolo Ebelechukwu Obi, mke wa daktari wa kienyeji, amesema kuwa mapasta wengi hufurika kwenye madhabau ya mume wake kutafuta nguvu za kiroho.

Mwanamke huyo Mnigeria ambaye ameolewa na mganga kwa miaka minane alisema kuwa hajutii kuchukuwa hatua hiyoKulingana na Obi, marafiki ambao walimdhihaki baada ya kuolewa na mganga sasa wanafurahia ndoa yake.

Lolo Ebelechukwu Obi zamani alikuwa shujaa wa maombi kabla ya kuasi Ukristu na kujiunga na dini ya kitamaduni .

Obi zamani alikuwa shujaa wa maombi kabla ya kuasi Ukristu na kujiunga na dini ya kitamaduni.

Mwanamke huyo Mnigeria ameolewa na mganga kutoka jamii ya Idemmili kwa miaka minane.

Katika mahojiano na BBC News Pidgin, Obi alisema kuwa hajutii kuchukuwa hatua hiyo ya kubadilisha dini.

Namna aliolewa daktari wa kienyejiObi alikumbuka namna alitembelea madhabau ya mganga amabye alimtabir juhusu ndoa yao.

Baada ya kujadiliana na mama yake, Obi hatimaye aliamua kuolewa na badaye alitambua alikuwa na mwito wa kuwa daktari wa kienyeji.

Chanzo: kiswahili.tuko.co.ke