Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mpaka wa Rwanda na Uganda kufunguliwa tena baada ya miaka mitatu

Border Rwanda Mpaka wa Rwanda na Uganda kufunguliwa baada ya miaka mitatu

Fri, 28 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Serikali ya Rwanda imeridhia kufungua tena mpaka wake na Uganda uliofungwa kwa muda wa miaka mitatu kufuatia madai ya ukiukwaji wa haki za binadamu uliofanyika kwa raia wa Rwanda waishio nchini Uganda.

Katika kipindi hichohicho Rwanda iliishutumu Uganda kuongoza makundi yaliyokuwa yakipinga uongozi wa Rais Kagame nchini Rwanda

Mpaka huo unatarajiwa kufunguliwa tarehe 31, Januari mwaka 2022 wakati nchi zote mbili zikiendelea kujadili masuala kadhaa yaliyochochea adha hiyo ili kufikia muafaka.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live