Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mlipuko wa gesi Kenya: Watu wanne wafikishwa Mahakamani

Moto Gesi Kenya Kenya Watu wanne wafikishwa Mahakamani Kenya kuhusiana na mlipuko wa gesi

Tue, 6 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Washukiwa wanne wa kesi ya mlipuko wa gesi Embakasi wamefikishwa mahakamani Jumanne.

Katika maombi mbalimbali, Kurugenzi ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) ilitaka washukiwa; Derrick Kimathi, Joseph Makau, David Walunya Ong'are na Marrian Mutete Kioko wawekwe mahabusu ili kukamilisha uchunguzi dhidi yao.

Kimathi ndiye mmiliki wa kiwanda cha kujaza gesi eneo la Embakasi jijini Nairobi ambako moto ulizuka Alhamisi usiku na kuua watu sita na kuwajeruhi karibu wengine 300.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live