Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mkuu wa Gereza aliyefutwa kazi na Rais Kenyatta awekwa kizuizini

GcoSut8VRuFB IMG 15535953637695392 Mkuu wa Gereza aliyefutwa kazi na Rais Kenyatta awekwa kizuizini

Wed, 17 Nov 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kamishna Mkuu wa Magereza ya Kenya Wycliffe Ogalo na Mkuu wa Gereza la Kamiti Charles Mutembei wamekamatwa na maafisa wa upelelezi wa DCI. vinaripoti vymbo vya habari nchini Kenya.

Kukamatwa kwa wawili hao kunakuja muda mfupi baada ya Rais Uhuru Kenyatta kubatilisha uteuzi wa Ogalo kama Kamishna Mkuu wa Jeshi la Magereza nchini Kenya.

Nafasi yake ilichukuliwa na Brigedia mstaafu John Warioba ambaye aliapishwa mara moja.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live