Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mke wa TB Joshua aelezea Mumewe alivyofariki

F03f4699 9ebf 4c4c 8c3b A179112127f6 660x400.jpeg Mke wa TB Joshua aelezea Mumewe alivyofariki

Thu, 10 Jun 2021 Chanzo: millardayo.com

Evelyn, Mke wa Mwanzilishi wa Kanisa la Sinagogi, Nabii Temitope Balogun Joshua, maarufu kwa jina la T.B. Joshua, ametoa maelezo ya jinsi mumewe alivyofariki.

Evelyn, Mke wa Mwanzilishi wa Kanisa la Sinagogi, Nabii Temitope Balogun Joshua, maarufu kwa jina la T.B. Joshua, ametoa maelezo ya jinsi mumewe alivyofariki. Evelyn Joshua amezungumza na waandishi wa habari wachache walioteuliwa siku ya Jumapili. Amesema mumewe alitumia kama masaa matatu katika maombi kabla ya ibada ya mwisho Mlimani na alikuwa anaonekana mzima sana, akaongeza kuwa hakuonyesha dalili yoyote ya ugonjwa au wasiwasi.

Chanzo: millardayo.com