Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mke wa Rais Ali Bongo afungwa jela

Sylvia Bongo (16).jpeg Mke wa Rais Ali Bongo afungwa jela

Fri, 13 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakili wa mke wa Rais wa Gabon aliyeondolewa madarakani, Ali Bongo, anayefahamika kwa jina Sylvia Bongo amefungwa jela kufuatia mashtaka ya utakatishaji fedha, kupokea mali ya wizi na kughushi nyaraka.

Wakili Francois Zimeray amenukuliwa akisema Sylvia amefungwa kwa utaratibu usiyo halali.

Wakati hayo yanajiri mtoto wao, Noureddin Bongo Valentin pia amefunguliwa mashtaka ya rushwa, ubadhirifu wa fedha na kuwekwa kizuizini kabla ya kesi yake kuanza kusikilizwa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live