Mke wa mtu kwa jina la Martha ambaye ni mjamzito amefumaniwa kitandani yeye na anayedaiwa kuwa mchungaji wake wa kanisa wakiwa watupu kuvunja amri ya sita.
Aliyewafumania ni mume wa mke huyo na amewafumania kitandani anapolala na mke wake huyo huku dhana za mapenzi zikionekana chumbani humo.
Haijajulikana mara moja wanatokea nchi gani lakini katika clip husika mume wa mwanaamama mimba inayoonekana wazi baada ya kuwafumania anasikika akiwaambia hakuna kusogea watulie hapo hapo.
Wote wawili wameonekana kupatwa na muhaho mke huyo akijaribu kumuomba msamaha mume wake huku akiwa hajui afanye nini, ila mfumaniwaji huyo aliyetajwa kuwa mchungaji wa kanisa yeye walipobambwa wakiwa watupu akakimbilia boxer yake iliyokuwa chini sakafuni akaivaa haraka na kusimama wima kwa hofu.