Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mkakati wa Tanzania na Kenya kuhusu Chanjo ya COVID-19

Kenya Na Tanzania Kenya & Tanzania

Wed, 4 Aug 2021 Chanzo: Jamii Forums

Kenya na Tanzania zimeanza majadiliano kuhusu chanjo ya COVID-19.

Mataifa hayo yamefanya majadiliano yanayolenga kuondoa changamoto zinazotokana na coronavirus ikiwemo kwenye sekta ya biashara.

Katibu wa wizara ya afya (Tanzania), Prof. Abel Makubi ametaja baadhi ya maambo yaliyojadil ikiwemo kuhakikisha kunakuwa na mifumo inayoweza kuwasiliana katika upimaji kwa kuweza kuonekana kwa pande zote.

Amesema kama mtu amepimwa, kama mtu amepimwa PCR basi aweze kusomwa na kuneonekana pande zote mbili na mifumo yetu iweze kusoma.Hiyo itaweza kusaidia Nchi na Wananchi wetu kuweza kufanya biashara vizuri.

Chanzo: Jamii Forums