Fri, 5 May 2023
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Bunge la Uganda limepindua sheria iliyokuwa inapiga marufuku matumizi ya mirungi na sasa ni ruksa kutumia.
Wanasheria wamesema marufuku hiyo ya mirungi haikuzingatia ushahidi wowote wa kisayansi.
Shauri lilifunguliwa na wakulima wa miraa.
Chanzo: www.tanzaniaweb.live