Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mike Sonko adai kuzuiwa kumsaidia mtoto aliyeng'olewa macho

Operanews1672060599962 Mike Sonko adai kuzuiwa kumsaidia mtoto aliyeng'olewa macho

Mon, 26 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Aliyekuwa Gavana wa Nairobi Mike Sonko sasa anadai kuwa amezuiwa kumsaidia Baby Sagini.

Baby Sagini alijulikana nchini kote baada ya kupatikana kwenye shamba la mahindi akiwa ameteswa na macho yake kung’olewa.

Sonko anasema kuwa licha ya juhudi za kutaka kusaidia, hajafanikiwa kumfikia mtoto huyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live