Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Miili 100 yakutwa chini ya kifusi Mariupol

Miili Miili 100 yakutwa chini ya kifusi Mariupol

Mon, 27 Jun 2022 Chanzo: BBC

Zaidi ya miili 100 imepatikana chini ya vifusi vya jengo la makazi huko Mariupol, mshauri wa meya huyo anasema.

Petro Andryuschenko anasema katika chapisho kwenye Telegram hakuna mipango ya vikosi vya Urusi kutafuta na kuzika miili baada ya makazi kukumbwa na shambulio la anga.

Mji wa bandari ulitekwa na Warusi mwezi uliopita, baada ya kuharibiwa kwa makombora kwa wiki kadhaa.

Chanzo: BBC