Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mchungaji achoma mawigi ya muumini

PASTOR.png Mchungaji achoma mawigi ya muumini

Fri, 3 Sep 2021 Chanzo: eatv.tv

Mchungaji Cyril Utomi kutoka Nigeria ameyachoma mawigi na vipodozi vya muumini wa kike kwa madai asingeweza kukutana na Yesu akiwa na nywele na vitu vingine vya bandia ikiwa ni pamoja na viatu virefu.

Utomi alichoma vitu hivyo katika mkutano wa mahubiri ulioandaliwa na Holiness Revival Movement Worldwide mwishoni mwa mwezi Agosti na baada ya tukio hilo aliamua ku-post picha zinazoonesha vitu hivyo vikiteketea kwa moto katika mtandao wa facebook.

Chanzo: eatv.tv