Kasisi mmoja nchini Kenya, Kahura Mwangi almaarufu Mchungaji T alitoa ushuhuda kuwa aliwahi kulala na mwanamke mwenye Ukimwi kipindi yupo Sekondari lakini baada ya kupimwa hakukutwa na ugonjwa huo.
Kasisi mmoja nchini Kenya, Kahura Mwangi almaarufu Mchungaji T alitoa ushuhuda kuwa aliwahi kulala na mwanamke mwenye Ukimwi kipindi yupo Sekondari lakini baada ya kupimwa hakukutwa na ugonjwa huo. Alidai kuwa baada ya kutoa ushuhuda huo watu wengi walimtafsiri vibaya pia alisema kuwa mkewe hasumbuliwi na mazungumzo kwenye mitandao ya kijamii kuhusiana na kukiri kwake kwani tayari alijua kuhusu maisha yake ya nyuma.