Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mbaroni kwa kupanga shambulizi siku ya Uchaguzi

Police3 Mbaroni kwa kupanga shambulizi siku ya Uchaguzi

Wed, 9 Oct 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Marekani imemkamata raia wa Afghanistan anayeishi nchini humo, Nasir Ahmad Tawhedi (27) kwa kupanga shambulizi siku ya uchaguzi huku akihusishwa na kundi la Islamic State.

Marekani imemkamata raia wa Afghanistan anayeishi nchini humo, Nasir Ahmad Tawhedi (27) kwa kupanga shambulizi siku ya uchaguzi huku akihusishwa na kundi la Islamic State. Mkurugenzi wa FBI, Christopher Wray amesema mtuhumiwa huyo alikuwa akijaribu kuhifadhi silaha, kuuza mali za familia yake na kuwahamisha nje ya nchi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live