Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mawaziri wawili wafa kwa Corona Malawi

A5d50e383ad45d9ce9439dfcd54fbdee Mawaziri wawili wafa kwa Corona Malawi

Thu, 14 Jan 2021 Chanzo: habarileo.co.tz

Rais wa Malawi Lazarus Chakwera, ametangaza siku tatu za kuomboleza nchi nzima kufuatia vifo vya mawaziri wake wawili, Lingson Belekanyama na Muhammad Sidik waliofariki jana kwa Corona.

Vifo vya mawaziri hao vilithibitishwa na Waziri wa Habari nchini humo, Gospel Kazako.

Lingson alikuwa Waziri wa Serikali za Mitaa huku Muhammad akiwa Waziri wa Uchukuzi.

Chanzo: habarileo.co.tz